Kinafri

Kinafri ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanafri. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kinafri imehesabiwa kuwa watu 1630; hata hivyo ni kizazi cha wazee hasa, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinafri iko katika kundi la Kisentani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search